@emmanuelmwakyusa41194 years agoBlessed president j. P. Magufuli, tanzanians benefits much with your extraordinary performance throughout all developmental sector and preventing corruption,. ...Expand
@
@matukiosafaris65084 years agoSina la kusema ila mwenyezi mungu akupe maisha marefu rais wetu john pombe magufuli unaipeleka nchi yetu mahali pazuri tunajua kuna misukosuko lazima itokee mungu akubariki sana. ...Expand3
@
@aminamwangairo27574 years agoLove tanzania. Kula yangu inakusubili rais wetu. 6
@
@fridathomassen58984 years agoCongratulations president magufuli for the good job you have done in your first term. You have done a lot in a period of five years as president.
@
@elizabethmwita2444 years agoZats my presidentits such a blessing to have u as our president.
@
@crissjulip31594 years agoMungu akupe maisha marefu yenye mafanikio zaidi asante kwa kuleta maendleo makubwa i love tanzania. 2
@
@rinovarthiliwi13144 years agoKwa mambo aliyowafanyia watanzania kuwafukuza watu 15, 008 bila kuwalipa mishahara na marupurupu yao magufuli kushinda kura na wabunge wake mpaka waibe kura kama mwaka 2015. Ccm na magufuli walihusika kuiba kufilisi matajiri wenye kutoa ajira kwa watanzania. Walihusika kuteka fedha za kigeni kwenye maduka ya dar es salaam, arusha, moshi, mwanza na kwingineko na kutumia fedha kununulia ndege. Wametumia polisi kuwateka, kuwapiga na kuwaua watanzania wasaio na hatia. Kutumia kodi za watanzania kufanya hayo aliyoyafanya bila hata kutumia invoice na risiti haina maana kuwa watamchagua. Kila mtanzania anao uwezo wa kuongoza nchi na kufanya hata zaidi ya hayo aliyoyafanya bila kuiba. Tutakuwa na imani gani kuwa hajaibia watanzania wakati hana mahali popote alipoandika matumizi ya fedha za serekali huku anamwaga mapesa kila anakopita hizi fedha zinaandikwa wapi. Watanzania msikubali kuwekewa pazia machoni na wengi wenu ni wasomi. Wabunge wa ccm kule bungeni wanapewa pesa kwenye bahasha kupitisha baadhi ya miswada ambayo haina tija kwa taifa kwa kutumia uwingi wao. Bila kuiba kura ccm haitoboi. ...Expand
@
@sedekiafulgensi68444 years agoHatuna cha kukulipa raisi wetu dr. Magufuli sisi watanzania tunasema mungu akulinde xana kwa kazi nzuri mitano tunakupa tena. 2
@
@aminaabdiabdi71124 years agoI love my president maguful baba lao thanks for almighty kkleta ata c lazima ku votes we kalia kiti endelea kpiga kazi much respect mr president. 3
@
@rehemashaban68584 years agoHongera sana baba ukirudi tena fatilia sana mabarozi wako wote ili wajue raia wao waliopo ktk nchi walizopo, pamoja na mishahara ilituzidi kuchangia nchi yetu nipo. Dubai. 5
@
@deborahnasson55214 years agoMungu ibariki tanzania mungu wabariki viongozi wa tanzania. 2
@
@mchungajijesse45934 years agoNakupongeza mhe raisi. Mungu akupe uzima kweli kazi umeipiga. 2
@
@salhamrishoaish92924 years agoNipo mbali lakini natamani kupiga kura natamani wa tz tuliokuwa nje tungewekewa utaratibu wa kupiga kuralove tanzania nakupenda pia rais wangu maendeleo tunayaona unasifiwa. 3
@
@luturinakivaria65654 years agoIkibidi katiba ya kipengele cha miaka ya urais iboreshwe, magu aendelee miaka 20, magu woyo, hongera sana babas. 2
@
@salmaathuman91564 years agoAhsante mungu kwa kutuletea jembe magufuli love tanzania. 9
@
@zenasalehe33064 years agoInnshallah mungu akuweke rais wetu miaka kama yote.
@
@izzode6344 years agoWe very proud 2have a president like you in our country thanks load. 1
@
@edwinepaul77454 years agoHongera sana kwa kazi nzuri ya kitume uloifanya mh. Prsd. Jpm! 1
@
@benjaminjoseph17474 years agoWewe baba mungu akubariki. Mwenye kukulaani itamrudi mwenyewe kwani mwenyewe macho haambiwi tazama. Mabadiliko tumeyaona kwa macho yetu. Na tusiposhukuru mungu ibariki tanzania na watu wake. ...Expand1
@
@mariyammariyam9714 years agoAllah azid kukusimamia yan kama itawezekana katiba ibadiriswe iliuendelee kuongoz tz kama utakua hai. 2
@
@conslatorjossy39514 years agoMagufulibaba, hapa n kaz tuu, maisha marefu magu. 4
@
@selemanramadhan34824 years agoHakuna namna nikumshukuru mungu peke yake coz bila yeye yasingekuwa haya. 7
@
@khatibkhatib22494 years agoNasisimka saanaa mwili wangu kwa hotuba zako baba maghufuli. 4
@
@rosesaid404 years agoHongera sana rais wetu kwa juhudi zako.
@
@shokaali35274 years agoAsante mungu kwa kutupa kiongozi huyu kwa kweli amefanya vizuri sana watanzania tunajivunia hili jembe. Asieona usimwambie tazama wacha wapige kelele wewe ni jembe. 5
@
@silvergas66964 years agoNi vyema muheshimiwa mambo unayofanya sio mabaya kila mtanzania anaitikia kwa nguvu. 1
@
@emmanuelmwakyusa41194 years agoThat is an extraordinary president all the time.
@
@moviesstorehub78274 years agoPresident of united republic of tanzania chuma jpm. 2
@
@innocentpatrick8134 years agoHongera sana mh. Rais kwa hotuba nzur na yakupendeza, lakini pia tuendelee kuchukuwa tahadhari juu ya janga la covid19. 4
@
@mariamm27244 years agoAsnt mungu kwa kutupatia kiongozi nwadolifu anayejuwa kuchapa kazi na mwenye hofu ya mungu. 2
@
@drackjohn88054 years agoYes haya ndio maendeleo mr lovely president. 1
@
@afrikanslooktz2244 years agoHadi raha, ila pia ujue ukiwa na mtaji mdogo na hujui ufanye biashara gani ikutoe njoo upate mbinu mbalimbali kujikwamua kiuchumi, karibu sana follow me insta @@mapishi_zona. 2
@
@elizabethmbiri4774 years agoHongera jembe letu shule oye maana tulichoka kukaa home. 4
@
@ashajuma64324 years agoHongera sana mhe. Rais tunakukubali kabisaa. Hotuba nzuri na yenye mantiki kabisaa. Mungu akukusimamie amiin. 4
@
@idaroselle47554 years agoAsante kabisa bafungule batu bana teswa bure africa mukatale vaccines ya wazungu kwa kua hapa canada bado vaccin hajapo bado kabisa mukatale. 2
@
@manaseelias23514 years agoMagufuli kampeni usifanye wasalimie tu wananchi maana ikulu yako baba mungu akupe neema ya kimbingu maana anakusudi jema na tanzania. 2
@
@mwadiabulymoshabani63364 years agoMagufuli hoyee, mimi naona ikiwa vyama vya upinzani, vinapenda maendeleo ya tz. Wamuache magufuli aendele tu maana anaiweza nchi hii. 6
@
@pendomkumbo82624 years agoBora turudi kazini walimu tumechoka kulala maana mbavu zinauma, pia watoto wetu wakasome maana walianza kupoteza dira. 11
@
@luturinakivaria65654 years agoAsante sana jembee kura zote za uraisi juu yakoo. Ila tusaidie nssf wanatutesa sana na mafao yetu. Tunaomba uliangalie hilo. 3
@
@marymfugwa8474 years agoWatumishi wa sekta binafsi hasa upande wa elimu tulikuwa na hali ngumu hakuna mshahara wa posho! 3
@
@kisenasamson25204 years agoMwenyewe hata kichwa akium najua rais tayar. 1
@
@thadeimsoma72954 years agoAsante sana rais wangu kwa kumfukuza mkurugenzi hapa arusha wizi ulikuwa umezidi nimelipishwa kodi ya panga sh, 3750 za uwongo ukiwaonyesha risiti wanakataa. ...Expand
@
@ajunakarumuna82674 years agoWoyooo go back at school nlikuwa nmemiss shule bala. 5
@
@evamwimike73554 years agoWacha niendelee kumshukuru mungu kwa kila jambo. Nchi yangu n zawad kubwa sana ntaipenda daima tanzania yangu. 3
@
@husnahassan62894 years agoRais wetu mwema kiongozi wetu shupavu asante sana mungu tunakuomba ututuzie jpm wetu ameen. 3
@
@radhiambwana87874 years agoUmefanya kazi kubwa rais kwakwel kura zako zipo wazi kabsa! Ila ukumbke wawekezaji kuwapunguzia kodi maan wao ndowanao ajiri asilimia 80 ya wananchi wako. Nakupunguza makali ya umasikini. 15
@
@familyserver48364 years agoHabari, natoa huduma ya kutangaza biashara online kwenye youtube na facebook. Nicheck +255 745 521 126.
@
@salumkhamis78184 years agoHizo takwimu zote zinatoka kichwani bila kusoma popote umetisha hiki ni kichwa jamani tukubal tu. 1
@
@godcompeter98444 years agoIyo ni campen tosha we kachukue fom tu kama ushaidi kura milion 50 ni zako muheshimiwa. 8
@
@irrinendanu97564 years agoAm from kenya, but proud of dr john magufuli, but my question tanzanian, have you fought the covid -19 no one with mask here and social distance.
@
@ameyashey31744 years agoKwahiyo wapinzani wapo hapo wanasikiliza au ndio wametimkaa njee. 5
@
@priscamasanga88564 years agoChezea magu wewe mtampenda tu wale wote mlokua mnamtolea povu haya sasaa mtajibeba. 3
@
@Honest_Man4 years agoIn kenya, schools will reopen in september. 5
@
@happinessmushi22944 years agoRaisi magufuli ni genius aisee hizi numbers za pesa sioni ukisoma mahali. 4
@
@michaelhyungim81744 years agoI' m just asking guys, how the hell did he memories all that stuff. Because i couldn' t see any ipad or any paper there. 6
@
@nashonshimba79974 years agoHuyu msukuma n shida hotuba yote kichwan hata tramp hawez hii feerstaili.
@
@salumkhamis78184 years agoMagufuliziko poa, ila wakumbuke masheikh waliopo jela bila hatia. 1
@
@OlengaMakeUpKhjfj5bf4hdb4 years agoWale walio kua wakiuliza rais ana wezaj kuhutub hana paper wala ipad he used teleprompter, that 2 bleu mirror behind him. But support me for subscribe pls. 3
@
@cadeyvassir11324 years agoWale wajinga waje wampinge sasa, wataweza kweli? 5
@
@masudijahazi4 years agoWale wa kodi zetu wapo kweli au zilikua ni purukushani tu kabla ya kuchomwa sindano. 2
Related videos for LIVE: RAIS MAGUFULI SHULE ZIFUNGULIWE, NDOA ZIENDELEE KUFUNGWA:
mishahara na marupurupu yao magufuli kushinda kura na wabunge wake mpaka waibe kura kama mwaka 2015. Ccm na magufuli walihusika kuiba kufilisi
matajiri wenye kutoa ajira kwa watanzania. Walihusika kuteka fedha za
kigeni kwenye maduka ya dar es salaam, arusha, moshi, mwanza na
kwingineko na kutumia fedha kununulia ndege. Wametumia polisi kuwateka,
kuwapiga na kuwaua watanzania wasaio na hatia. Kutumia kodi za
watanzania kufanya hayo aliyoyafanya bila hata kutumia invoice na risiti
haina maana kuwa watamchagua. Kila mtanzania anao uwezo wa kuongoza
nchi na kufanya hata zaidi ya hayo aliyoyafanya bila kuiba. Tutakuwa na
imani gani kuwa hajaibia watanzania wakati hana mahali popote
alipoandika matumizi ya fedha za serekali huku anamwaga mapesa kila
anakopita hizi fedha zinaandikwa wapi. Watanzania msikubali kuwekewa
pazia machoni na wengi wenu ni wasomi. Wabunge wa ccm kule bungeni
wanapewa pesa kwenye bahasha kupitisha baadhi ya miswada ambayo haina
tija kwa taifa kwa kutumia uwingi wao. Bila kuiba kura ccm haitoboi. ...Expand
chuma jpm. 2
ikutoe njoo upate mbinu mbalimbali kujikwamua kiuchumi, karibu sana
follow me insta @@mapishi_zona. 2
go back at school
nlikuwa nmemiss shule bala. 5