Duration 3:9

MDEE NA WENZAKE, WAMVURUGA NDUGAI/ATOA TAMKO LINGINE

2 519 watched
0
6
Published 7 May 2021

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai analazimika kutoa maelezo ya mara kwa mara kutokana na 'mashambulizi' yanayoelekezwa katika kiti chake, kuhusu kushindwa kuwatimua Halima Mdee, wenzake 18 waliokuwa wanachama wa Chadema. Akizungumza bungeni leo Ijumaa, tarehe 7 Mei 2021, Spika Ndugai amesema, anashindwa kuchukua hatua katika mgogoro wa wabunge viti maalum 19 waliovuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa kuwa chama hicho hakijakamilisha utaratibu. 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Category

Show more

Comments - 9