Duration 6:6

Olimpiki ya wamasai: Michezo ya olimpiki inayohusisha jamii ya wamasai Kenya

22 465 watched
0
56
Published 29 Jan 2019

Michezo ya olimpiki ambayo hufanyika kila baada ya miaka minne itaandaliwa nchini japan mwaka ujao. Hata hivyo nchini Kenya michezo ya olimpiki ambayo inahusisha jamii ya wamaasai tayari imefanyika…Celestine Karoney alihudhuria na anatusimulia. #Olimpiki #Kenya #Japan

Category

Show more

Comments - 7