Duration 6:16

JINSI YA KUPIKA MCHUZI WA KEBAB

1 205 watched
0
0
Published 11 Jan 2020

Mchanganyiko wa Nyama Nyama ya kusaga 1 kg Vitunguu vya kusaga 4 Vitunguu swaumu punje 4 Majani ya giligilani Chumvi vjk 2 vya chai Giligilani kavu vkj 2 cha chai Pilil pili Manga kjk vjk 2 vya chai Sosi Mafuta 1/2 Kikombe Vitunguu 2 Nyanya za kusaga 4 Tomato Paste vjk 2 vya Chakula Kitunguu swaumu punje 2 Chumvi vjk 2 Binzari ya Manjano vkj 2 vya chai Maji vikombe 5

Category

Show more

Comments - 0