Duration 15:55

KMC FC 3-0 Gwambina FC | Highlights |

3 098 watched
0
6
Published 20 Apr 2021

KMC VS GWAMBINA: Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC imeifyatua Gwambina FC kipigo cha mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Magoli ya KMC yamfungwa kipindi cha pili na Charles Ilanfya, Emmanuel Mvuyekure na Ally Ramadhan ‘Oviedo’. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 2