FURAHIA MAISHA | Hamasa Ep. 31
Usihuzunike juu ya dunia na kila kilichomo ndani yake, kwani wote ni wageni na tunapita tu, hivyo usiifanye huzuni ikaharibu ubora wa mustakabali wako kwa kuyafikiria yaliyopita, kwani huzuni si njia mbadala ya kutatua matatizo zaidi kukupoteza katika dira ya maendeleo.
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/
TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne
FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne
LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#Furahia #Maisha #Hamasa