Duration 8:5

Prof Kabudi ajibu uvumi kunyimwa msaada/Akumbusha 'Tanzania sio nchi ndogo'

89 120 watched
0
786
Published 21 Nov 2020

#Prof.Kabudi #Mamboyanje # Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof.Palamagamba Kabudi amesema Tanzania haijawahi kupigishwa magoti kisa misaada ya nchi za Ulaya. Prof.Kabudi amesema hayo akiongea na Wafanyakazi wa Wizara hiyo

Category

Show more

Comments - 665