Duration 6:3

Mabuyu ya Biashara/Mapishi rahisi ya ubuyu mtamu sana wa mombasa /Ubuyu wa Zanzibar/ Ubuyu /Mabuyu

10 311 watched
0
0
Published 28 Dec 2020

#kenyanyoutuber #Ubuyuwazanzibar MABUYU YA BIASHARA Mahitaji Ubuyu vikombe vitano Sukari vikombe vitano Maji vikombe viwili Iliki kijiko cha chai Vanilla kijiko cha chai (unaeza tumia flavor yoyote) Pilipili manga kiasi (sio lazima) Rangi nyekundu kijiko cha chai Baking powder kijiko cha chai (hii inasaidia mabuyu kushikana sio lazina unga mlwa mabuyu. ________________________________________________________________________________________ Thank you so much for stopping by please do subscribe its for free. ❤️

Category

Show more

Comments - 157