Duration 3:58

Mtoto wa Joti Amliza Baba Yake na Mama wa Kufikia Ukumbini

1 227 748 watched
0
2.7 K
Published 30 Oct 2017

Katika ndoa ya Joti iliyofanyika Jumamosi hii ilikuwa na matukio mengi ya aina yake, moja kati ya matukio hayo ni namna mtoto wa Joti ambaye alizaa na mwanamke mwingine alivyoimba wimbo ambao uliwatoa machozi watu ambao walitokea ukumbini hapo pamoja na mke mpya wa Joti.

Category

Show more

Comments - 250