Duration 6:41

RC Mwanri aanzisha vita na Walevi Pombe ina darubini, ulevi ulipojenga nchi

663 436 watched
0
2.6 K
Published 3 Jan 2019

Category

Show more

Comments - 525
  • @
    @kamilusmgaya48065 years ago Jamani huyu mkuu wa mkoa tusipo mpa like zake tutakuwa hatumtendei haki tuanze mimi 9
  • @
    @aliarkam14135 years ago Huyu ndio kiongoz ambaye mfano kwa wengine , Hongera sana 92
  • @
    @gelsonyusto77725 years ago Appreciate saana kiongozi mkuu wa mkoa tabora na pia heshima kwako Millard ayo kwa habari zako naelimika kuptia katka vipind vyako pia na burudika salute saana Millard ayo 5
  • @
    @aginiweyessayakyando98555 years ago Mzee nampenda sana, hlf huyu mzee anaupendo wa ukweli juu ya watu anaowaongoza. Mungu akubariki sana. 2
  • @
    @anithermsigwa5 years ago Kaongea point sana watoto ndo hazina ya muhimu ni wa Jamhuri kweli ayseee👏👏👏👏👏 4
  • @
    @doctorjuniour94595 years ago YAAN HUYU MKUU UTADHANI NDO MKUU WA MIKOA YOTE. Jamaa anatema facts 57
  • @
    @joelsule41115 years ago Nadhani tunaweza kumchukulia kama comedian flani hivi! Yuko siriaz na kazi na anamaanisha anachokifanya tena kwa ujumbe wa kirafiki, lkn ni ujumbe unaowalenga wanyonge ambao hawajitambui! Hii kazi hata ustawi wa jamii baadhi yao hawazi kutupatia japo ndo wajibu wao. Hongera sana Mh. Rc Tabora. Kwa maoni yangu wewe ni kiongozi unajitambua na kujua mahitaji ya jamii unayoisimamia. Mungu akulinde wakati unatimiza majukumu yako! ... 1
  • @
    @naipendaamaniniliyonayodai63995 years ago Nakukubali sana Mzee Mwanri,,endelea kupiga kazi mkuu we admire you sir!! 1
  • @
    @omarjumanne44715 years ago Safi sana mkuu wa mkoa nakuunga mkono chukua hatua wanaume na wanawake pia hawatunzi watoto ni kweri kabisa 7
  • @
    @saumuhassan63655 years ago Kabla cjafunga hii taarifa nikiangalia kichwa cha habar tu Nacheka, uyu Baba ni jembe 😂😂😂😂
    Hiyo pombe ina darubini??
    44
  • @
    @magynzioka11225 years ago 😂😂😂wakenya tunakupendanga sana tu una chekesha but ni kweli 90
  • @
    @faridamkesso975 years ago Safi sana Mwanri kwa kujali wananchi wako , hongera sana 15
  • @
    @ernestkaria59385 years ago Mzee nakuelewaga sana....
    Mlevi n kama mshenzi flanii HV.
    17
  • @
    @margaretwambete12285 years ago Kweli kiongozi.Okoa familia jameni.Asante .Mkenya from london.pongezi. 1
  • @
    @freddymello32275 years ago Huyu ni Mwalimu wa maisha zaidi ya kuwa mkuu wa mkoa.anachoongea ni zaidi ya elimu kwa familia wengi tunakosea!
    binafsi nashukuru kwa elimu hii uliyonipa mheshimiwa Mwanri.
    3
  • @
    @faridahhamza87045 years ago Dahhh yaan mkuu itabidi nihame tanga nije tabora kuanzisha makazi kwa ajili ya kasi yko ya maendeleo nimeipenda sana 3
  • @
    @emmanuelmoses83405 years ago Nampenda san,mkuu wa mkoa wa TABORA kwa sabau ana wafanya watu kuwa ACTIVE WAKATI WOTE
    Aa namkubal san piga kaz mzee
    1
  • @
    @ibrahimkhatibu45615 years ago Hiki kipande cha mama unafungua au ni ingie nao nan anipe jamani😂😂😂😂😂😂 5
  • @
    @AbdullaAbdulla-pw5nd4 years ago Ww Mzee unayoongea yote mazima halafu ulivokiongozi mzuri 💯💯 huongelei siasa zile zakichama wewe unaonelea siasa ya kuielewesha jamii
  • @
    @habibalkindy28115 years ago nakukubali sana mkuu wangu was mkoa natamani uongoze tabora miaka 800000000000000 5
  • @
    @badmanno.16505 years ago Pombe yenye darubini..walevi hawana maana kaabisa..nashangaa serikali zetu zimengangania bangi tu..Mwanri for president 4
  • @
    @sophsoph47408 months ago ❤❤watoto hawawezi kula kipolo😂😂 nakupenda san babaangu naangqlia 2023
  • @
    @maxmilianjoseph80655 years ago Uteuzi wako umetukuka baba...Maneno yako ni hazina kubwa sana kwa atakayeyatafakari na kuyafanyia kazi...Mungu akubariki 2
  • @
    @liobajoseph82555 years ago 😂😂😂mwanri mbavu zangu, we ni kiongozi safi Sana, maendeleo ya taifa yanaanzia ngazi ya familia 11
  • @
    @mbodzebemasika74775 years ago 😅😅😅😅duh lakini huyu baba ni mwema..tutako twa watt inje inje😭😭😭 11
  • @
    @kizitokasulamo91675 years ago Mke wa mganga ni mnene utafikili behewa 😂😂😂😂😂😂 5
  • @
    @m.amanitv85345 years ago Duh Tabora mmepata kitu na Box Nawaonea wivu 14
  • @
    @vitalesmgenge69845 years ago Mama Ana mlango unafungua au niingie nao? Pombe hio 25
  • @
    @Ba638285 years ago UNAONGEA BUSARA SANA I LOVE YOUR INTERACTION WITH THE PEOPLE JAMII IKUZDISHIE
  • @
    @hechihechie55585 years ago Yaani sijui huyu baba alikuwa wapi!!!asante Mh raisi kumteua huyu !!!anasema u kweli japo anatuchekesha,Mungu akubariki sanaaaaaaa!!!
  • @
    @michaelmuriithi68085 years ago Mheshimiwa RC..karibu Kiambu, Kenya...hapa wanatoa lock asubuhi..ndo aweze kuona ( sic!)..ulevi ni ushenzi. 1
  • @
    @magehkihwele82745 years ago Hahah kwenye kuingia na mlango hapo baba Anna acha t niamke nkufungulie😂😂😂😂 2
  • @
    @emmanuelgabagendi45155 years ago Kikwel mm nakupenda sana mze safi sana kanzi njema 1
  • @
    @goodluckymanjala50625 years ago Mke wa mganga wa kienyeji ni mnene kama behewa kuku mchezo? 20
  • @
    @abdulkillya26555 years ago Nakufaaaaa, kufa.
    Wee, wee, wee, nyamaza kabisaaa usiniambie maneno hayo😂😂😂
    2
  • @
    @noelbryson78405 years ago Walevi ni washenziii ( Hapa nakuunga mkono)..😂😂 2
  • @
    @phoebemmanga2995 years ago Mkuu una Kipaji cha UONGOZI. Hongera sana.
  • @
    @annachristopherokeno93875 years ago Asante baba pigs kazi shuka nao Moja kwa moja
  • @
    @drjoshuamadundo89535 years ago Kiukwel huwa navutiwa sana na huyuu kiongoz 7
  • @
    @emanuelmwakarata97215 years ago Injinia soma iyo safi sana uko vizuri mzee
  • @
    @asegelilemwambapa59765 years ago Nakufaaa. Kufaa Hahahahaha tabora yetu ya Toronto. Big up
  • @
    @rosekimario82595 years ago Daaah kweli huongei uwongo ni kweli kabisa hasa rombo ulevi umekithiri na hakuna kinachoendelea
  • @
    @frankmulunguTz5 years ago Mzee wa sukuma ndaniiii,somaa hiyoooooooo Tisha Sana RC
  • @
    @silverjoseph45775 years ago Big up Sana unajua kunifanya nicheke niwapo na hasira
  • @
    @deogratiusdominick38845 years ago Uyu mzeee namkubali sana like nying kwako
  • @
    @Ambweneonlinetv5 years ago somaaaaaaa hiyoooooo 😂😂😂😂😂 12
  • @
    @bensonndendya95565 years ago Mama ana huu mlango unafungua au niingie nao 1
  • @
    @catherineriwa64885 years ago hahahhahahahaha🤣🤣🤣🤣aiseenomna Sana mke WA mganga mnene Kama behewa 2
  • @
    @josephmakyao10955 years ago Mkuu unanipa matumaini ya uongozi bora ktk nchi hii mm naomba mkuu wa nchi akupeleke tamisemi ili hzo juhud uzifanye nchi nzima mungu akubariki sana
  • @
    @iddirashid80385 years ago hahhahaha et mlango utafungua au niingie nao😃😃😃😃😃😃 11
  • @
    @iffahbahet14995 years ago Mama ana huu mlango utafungua au niingie nao 2
  • @
    @jumanguya91165 years ago Weee weeee Weee
    Nyamaza kabisa hahahahaaaaaaaa watoto wajamhur
    1
  • @
    @banshbansh23295 years ago kweli kabisa tabora na mwanza waongoza kwa ulevi hawajali familia zao alafu wakorofi sana 1
  • @
    @bashiryusuph67504 years ago daaah mzee agree tutakuona wp tenaaa aaah sukumandani
  • @
    @amourjustine9255 years ago Huyu ndio mwanry bhana na mpya ya 2019 1
  • @
    @adamalibhai49215 years ago Aggrey ameongea ukweli halisi kabisa wa tanzania 3
  • @
    @kimbokageorge26465 years ago Wachagga wajanja Tanzania
    1.Rc Aggrey mwanri
    mushi kimboka
    1
  • @
    @neema.shaoshao13615 years ago Unanifuraisha sana maana unaweka msisitizo asiye kuelewa sukuma ndani 8
  • @
    @felixkamkala33035 years ago Ninakukubari sana mzee kwakweli Ongera ninatamani na mimi niwe kama Kiongozi kama wew aisee safi sana
  • @
    @Crownvalz5 years ago Kama naiona nyimbo itakayotoka kwenye hii video...😂😂😂 5
  • @
    @mayungamalegi8345 years ago Huyu jamaa namkubali sana tunaweza tukapikwa chungu kimoja tukaiva
  • @
    @lawmaina785 years ago Hahaha huyu lazima alipitia matatizo sana zama zile, yaani anajua kila kitu. 9
  • @
    @dianamadege17035 years ago Ameongea point sana walevi kweli ni washenziiii
  • @
    @cadoozrhizomes33935 years ago Duh hio last statement" mnenene kama behewa" 😂😂😂😂😂😂
  • @
    @valentinamussa42125 years ago Urevi ni adui wa maendeleo,jamani shenzi kabisa walevi 2
  • @
    @youngchuda15682 years ago Daaaah nchi imekosa furaha inateseeka na tozo watu kama hawa saiz hawapo 1
  • @
    @innomallya87415 years ago umeongea point mzee. pombe inamaliza matatizo kwa mda tu, ukiamka j tatu unakuta majukumu yapo palepale yanakusubiri
  • @
    @samsonjoseph73205 years ago Tabia ya pombe ni kuahirisha matatizo yako Kwa muda. Mlevi ni mshenzi na mshenzi ni mtu yeyote ambae si msitaarabu. 1
  • @
    @ablysonco88505 years ago Angekaa T.R.A...kma kiongoz Mkuu...Ingekuwa saf sana...hak ingeonekana...