Duration 1:41

KIWEMBE teaser | Latest Swahili Movie | Bongo Movie

6 617 watched
0
47
Published 2 Apr 2021

Hili ni tangazo ya filamu ya KIWEMBE inayomzungumzia kijana Adam aliyeshindwa kupambania penzi lake lilichukuliwa na Kijana Maulidi Mwanaume mchezeaji na mwenye kurubuni wanawake hapo mtaani, Karimu rafiki wa Adam anakuja na mbinu ya kutibua mipango ya Maulidi! Je, atafanikiwa? . Usiache ku SUBSCRIBE CHANNEL yetu kwa filamu zijazo, Filamu hii itatoka baada ya PASAKA.

Category

Show more

Comments - 24
  • @
    @AdamLeoStudioslast year Tazama vituko vya dogo aliyezubaa baada ya kutafutiwa mke na mjomba wakeKomedi ya kuchekesha
  • @
    @festuskijana89043 years ago I like your play sir you motivate, keep on good work bro. 1
  • @
    @baimarrajahbuayan62373 years ago Tumalizie kicheche usituchnganyie mafile. 2