@janeshigami87693 years agoNafurahia jinsi msimlizi huyu anavyo badilisha sauti ya kila mtu. 9
@
@sumeiyamaddy953 years agoWanaume wa hivi hapana mungu mstiri mume wngu bora madudu yke afanye njee lkn c ndan. 9
@
@ismailmkame42053 years agoMashemegi wana mitihani mitego kila aina lazima utaingia box tu. 2
@
@malkiawasauti12173 years agoSasa baba vai huo uchu kwamba mama vai anafanyaga kazi gani eneweyi anjera faidi utamu coz wamama tumezoea kubana wadada wa kazi when tunalisha vyakula vyamafuta. 9
@
@enithanelson84182 years agoMwanaume unatamaa wew au unapepo la ngono mwanaume kichwa cha nyuma na anafananishwa na Kristo sasa kwa mfumo huo mnatamaa mbaya sana wanaume Mungu anawaona mgeukien Mungu shetan amewakamata anabuluza kama nn waefeso .....Expand
@
@husnaameen93092 years agoWanaume wengi malaya sana alimtamani siku nyingi hapo alitimiza tu haja yake. 3
@
@reenreen70313 years agoAsante sana kaka simulizi nzuri sana yenye mafunzo, wanaume kama hawa, da ni hatari sana. 6
@
@avelinabaluhya28043 years agoTamaa mbaya na ubinafsi wa hali ya juu. 1
@
@semenimohamed81563 years agoKwani ank j simuliz ya nyumba yamisukule vip. 6
@
@carolinenakirutimana15592 years agoNa angela ni malaya. Angepiga kelele. Naye alikua anatamani shemeji yake. 1
@
@florafrancine50253 years agoSwali je maisha nisiyo yatalajia imekwisha ao tusubilie season 3? Tafadhali nijibie anko j. 1
@
@dearmama78653 years agoMbinu tunazo ila tunakamatwaga kidog sana. 1
@
@shakilamasoud29833 years agoWanaume watafika mbiguni wamechoka sana. 5
@
@aishaabdi20592 years agoSasa kama mama mwenye nyumba anamuita mama mkubwa mume wamama mkubwa atamuitaje shemeji.
@
@enithanelson84182 years agoMshahara Wa dhambi ni mauti bari kalama ya Mungu uzima Wa milele warum kumbuka unachopanda lazima ukivune tumgeukie Muumba dunia sio Yetu wapendwa tusikubar kubuluzwa na shetan .....Expand1
@
@twaenimtekele54083 years agoDaa pole sana anjela shemeji ako atahukumiwa mungu atakuponya. 1
@
@fuhftyfiufffg4783 years agoTunakufata sana kutoka burundi simulizi zako zina mafunzo mungu akubariki sana. 1
@
@user-qg2sw9bj2i3 years agoSs baba vai anashangaa nn mwanaizaya uyo. 5
@
@melkimsangi67233 years agoUnauma ila inafundisha mashemeji wengine wenye tabia kama hiyo.
@
@buru12352 years agoWanaume wenzangu tuache ulafi jameni wow so sad.
@
@johnkuma68673 years agoInapendeza sana ni kama sineme unaitazama. Tuna kusikiza vyema sana hapa kenya. 6
@
@mariamalongo88032 years agoIla huyu baba nibaya sna mina ilikuwa yake kwanini jakumtunza tu msichana?
@
@carolinenakirutimana15592 years agoMwanaume mualibifu kwa nini aliamuru kumualibisha shemeji yake mwenye angeolewa mu mume wake wa bujana na kufurahiya ubikra wa mkewe.
@
@kemuntojackline22673 years agoSimulizi nzuri aja nisikishe nita comment baadae mpendwa. 4
@
@vero7563 years agoWanaume wengine ni wanyama tu. Hy muhuni. 5
@
@emilyiboya25982 years agoNisimilizipa. A. Nimafuza. Imenfuza. Kuishi. Nashemeji. Asate. Nimeisikiya. Niko. Riady.
@
@hamzarajabu92013 years agoAhhahahhahahah nakubali sana tu najifuzaki tu. 1
@
@semenimohamed81563 years agoWao asante kwa sauti tamm sana yenye kubembeleza. 10
@
@enithanelson84182 years agoMwanaume unatamaa wew au unapepo la ngono mwanaume kichwa cha nyuma na anafananishwa na Kristo sasa kwa mfumo huo mnatamaa mbaya sana wanaume Mungu anawaona mgeukien Mungu shetan amewakamata anabuluza kama nn waefeso .....Expand
@
@enithanelson84182 years agoMshahara Wa dhambi ni mauti bari kalama ya Mungu uzima Wa milele warum kumbuka unachopanda lazima ukivune tumgeukie Muumba dunia sio Yetu wapendwa tusikubar kubuluzwa na shetan .....Expand1
Related videos for NILIVYOBEBA MIMBA YA SHEMEJI YA SHEMEJI YANGU MME WA DADA.: