@irenemina20594 years agoMy favorite motivation speaker nanauka. 4
@
@shedrackymatandala1339last yearNajuwa utakuwa unapokea asante nyingi xana pengine hadi zamikono kabisaa ila naomba upokee na asante yangu hatakama haina ki2 7bu wewe ni2m watofauti id="hidden1" xana na unanifundixha vi2 vingi ambavyo nilikuwa navifanya bila kuvifikiliya kuwakwangu na kwenye maixha yangu bro xnte. ...Expand2
@
@bueno18184 years agoInspiration icon! Keep teaching us sir! 3
@
@sixmelody4349last yearNimetulia hap napata darasa zuri la maisha. 1
@
@augustinomarkmmbaga31703 years ago1. Jilipe mwenyewe kwanza 2. Matumizi yako yasiongezeke kipato chako kinapoongozeka ili ubakiwe na kiasi cha fedha kwa ajili ya uwekezaji 3. Wekeza pesa zako kwenye aina ya uwekezaji unaoufahamu vizuri. 11
@
@nelsonjonas73342 years agoNoted brother joel, mungu azidi kukupa uhai kwa maono ya jao makubwa zaidi katika kufundisha na kutoa ushauri. 2
@
@patiencejames48534 years agoHuyu br, mungu kamleta kwa kusudi maalumu tanzania, proud of you br. 15
@
@issakigezi47094 years agoKaka joel asante sana kwa masomo yako naomba uchambue biashara za kuchangia. 3
@
@merykyungai25517 months agoUmenisaidia sana kwenye matumizi ya pesa asante sana.
@
@mamadon29534 years agoAt least nimejinza kitu leo. God bless you. 2
@
@nashiruhassani51583 years agoMungu akupe maisha marefu ili uendelee kutuelimisha.
@
@JOHNCHANGE-qv1fplast yearThank you my brother i collect you from zambian.
@
@wamariciousmaro32292 years agoMy best motivational speaker big up br. 1
@
@shukranjulius59103 years agoHakika nabarikiwa mno kaka joel mungu akutunze.
@
@bajutaboy75882 years agoUmenena kweli kaka tuko pamoja naamini nitabadilisha matumizi yangu ya kifedha
@
@alnejom72794 years agoMungu akubariki sana naendelea kujifunza.
@
@mussadismass93063 years agoUbarikiw sana kaka joel nimejifunza san somo hili kwaumakin.
@
@aminaibrahim36563 years agoNice teacher nakufatilia sana mr joel nanauka m/mungu akubaliki kila siku.
@
@faudhiarajabu26553 years agoAhsante kaka nimejifunza leo kupitia wewe.
@
@deomsaky76292 years agoKaka upo vizuri sana naendelea kujifunza.
@
@chalresmyamba10712 years agoJoel mungu kakuleta tz kwa kusudi maalumu so kwa kutufungua ubongo naamini mwaka huu nimefanya vizur kupita kwa maoni yako mungu akupe miaka zaid utufikishe mabli.
@
@zephaniamadoshi94923 years agoNashukulu sana kaka angu kweli hujawahi kuongea ki2 kinyume ubarikiwe.
@
@upendosamson84503 years agoKwakwel nimebarikiwa sana na hili somo be blessed my brother.
@
@ivanisack52524 years agoNakupata moja kwa moja kutoka mwanz tz.
@
@danielw.katabe655310 months agoSee me at the top! Niko na ww class to class.
@
@alenenerico97244 years agoMafunzo yak naelewag xan god be with you.
@
@Raja-zu7nh3 years agoUmeni fumbua kaka nimengi sana nirikua sifaamu.
@
@jimmyfaliala54602 years agoUbarikiwe sana my teacher mengi na njifunza kwenye vipindi vyako.
@
@angeljohnson509310 months agoBro leo nimejifunza kitu kikubwa sana nakuaidi nabadilika sasa.
@
@mbirionline49164 years agoMkuu huu pesa zina kuja na maelezo yake na matumizi yake. 1
@
@timothymwaluko41893 years agoKazi zako nzuri sana kaka, ubarikiwe sana.
@
@yohanamagele36333 years agoHii kanuni ya 3 imenipotezea fedha thanks brother.
@
@juvenarymachumu4 years agoDuh mm nilikia nakiuka knuni ya kwanza.
@
@priscardanier8264last yearNimejiajili huu mwaka wa 3 lakin sijawai jilipa.
@
@daniellepari45254 years agoAhsante sana kaka kwa kujitoa kuelimisha watu mungu akubariki sana. 3
@
@muhsinsalum80092 years agoZote ninoma kwangu. natakiwa nijitazame vizuri.
@
@juliusbwire22783 years agoNimebarikiwa sana na video na ebook zako, hakika mungu amekuchagua ulete mabadiliko kwa watu wake,
@
@chazmtawala9904 years agoNaam my burothar umenifundisha mengi sana nakushukuru sana na mungu akubaliki uzidi kusitawi katika kipaji chako.
@
@antonadam42314 years agoHiyo namba tatu inawahusu watu wengi zaidi.
@
@jpntv84564 years agoSijamaliza kusikiliza ila nimejifunza kwa 100% naendelea kukusikiliza na kukufatilia. Be blessed. 3
@
@yassinkassim52414 years agoYaani watu eh sasa dislike za nini kwenye somo bora kabisa.
@
@linussiwitilisitv48304 years agoShukrani sana kaka joel n kuna kitu kikubwa nimejifunza juu ya kanuni hizi tatu.
@
@fenyotzmlekwa75904 years agoHiyo kanuni ya kwanza nilikuwa cjaitambua nashukuru sana umenifumbu.
@
@princesstaes54834 years agoNmejifunza kitu aisee me nimiungoni nisieweza kutunza pesa ubarikiwe broo. 1
@
@phanuelpaul37854 years agoHaijalishi unaingiza pesa nyingi kiasi gani kumbe kinachomata ni unasave kiasi gan ok ahsant sna
Related videos for Kanuni za matumizi ya Pesa - Joel Nanauka:
2. Matumizi yako yasiongezeke kipato chako kinapoongozeka ili ubakiwe na kiasi cha fedha kwa ajili ya uwekezaji
3. Wekeza pesa zako kwenye aina ya uwekezaji unaoufahamu vizuri. 11
natakiwa nijitazame vizuri.