Duration 3:00

MKUU WA WILAYA AOMBA TAASISI ZA KIDINI KUJIKITA KUSAIDIA WAGONJWA NA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU.

40 watched
0
0
Published 31 Jul 2020

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth msafiri Amezitaka Taasisi mbalimbali Mkoani Hapa Hususani Makanisa kuwa na Utaratibu wa Kuwatembelea watu wenye Mahitaji maalumu kama Vile Wagonjwa,Walemavu na Wajane ili kuwapa Faraja ya Maisha.

Category

Show more

Comments - 0