Duration 8:16

CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA MADINI YA TANZANITE WATOA UJUMBE MZITO KWA SERIKALI

602 watched
0
4
Published 16 Feb 2018

MAKAMU Mwenyekiti wa chama cha wauzaji na wanunuzi wa madini nchini,(TAMIDA), Thomas Munisi ameipongeza serikali kwa hatua yake ya kujenga ukuta katika machimbo ya madini ya Tanzanite Mererani kwa lengo la kudhibiti utoroshwaji wa madini hayo Aidha amesema TAMIDA kinaunga mkono hatua ya serikali kuzuia usafirishaji wa Madini yakiwa hayajakawtwa(RAFU)

Category

Show more

Comments - 0