Duration 16:39

DIAMOND AMKABIDHI PESA MZEE ABDULL / UG0MVI PEMBENI KWANZA

359 275 watched
0
2.4 K
Published 15 Jul 2021

Category

Show more

Comments - 463
  • @
    @mikemuchene20453 years ago You are a blessing to your children yours or not yours. God bless mzee abdul. 1
  • @
    @iam-joebwirekenya20703 years ago Diamond atakuja juta! Vitu hivi ni vyatu. Wangapi wanakubali? Give it a like if you agree. 39
  • @
    @jacklineamisi7632 years ago This guy is a gentle man he is so kind and humble. May god bless him.
  • @
    @saidfhamad3 years ago Huyu mzee anaongea kama diamond kabisa pia mimi naona kama wanafanana vilee! 94
  • @
    @wardaibrahim82083 years ago Papa u have gold heart mashaallah tena una imani allah hakupe long life. 24
  • @
    @cabitotoke41613 years ago Mzee mungu nawe kila wakati from kenya. 11
  • @
    @shabanikamsawa1813 years ago Anaongea kiume na kibusara sana na ndiyo maana wachawi wengi ni wanawake maana ndiyo wanao ongoza kwa roho mbaya na kupandikiza chuki huwa hawa semi mabaya . ...Expand
  • @
    @roselynestua70953 years ago Mungu amubariki diamond kwale amefanya mungu asiti kumwinuwa mimi ni mukenya. 1
  • @
    @saidalguhum19963 years ago Mzee abdul wallahi wewe ni mtu mbele yawatu una busara sana na subra kweli juu ya yote anayo kufanyia mwanao daimond lakini bado wampenda na hujamsema . ...Expand 16
  • @
    @aamrchoabula82262 years ago Kirakitu kinakuwa kwenyemupango wamungu kwahio usijali 1day mungu atakulipilia from south african. 1
  • @
    @ummyremmy17973 years ago Mwenye amegundua kua mzee abdul anaongea kwa uchungu ila anajikaza tu. Gonga like twende sote. 22
  • @
    @salamanauthartanzania63013 years ago Unazo busara nyingi sana mzee abdul allah akujaze kheri na baraka nyingi. 3
  • @
    @boionemkenyaofficial88223 years ago Jamanie huyu mzee ni mzuri sana tena mwenywe na heshima kweli nampenda sana huyu mzee mungu atakupa tuu papa. 56
  • @
    @videlialabeka48993 years ago Mzee kubali the diamond ana maishaakupee kila kitu. Shukuru tu.
  • @
    @marywanyika26583 years ago Mzee abdul ana roho nzuri sana mungu ampe uhai na blessings. 1
  • @
    @khadijacastro28513 years ago Hyu mzee nampendagha sana anabusara sana mawaidha mzuri. 1
  • @
    @personcriticalthinking71623 years ago Asante sana diamond ubarikiwe sana. Sasa nimekupenda kabisaa bila doubt. 2
  • @
    @habibamahamed55873 years ago Mungu akuweke na akuzidishie lmani jamani mzee abduli inshallah. 11
  • @
    @swahumathumani26363 years ago Mungu akupe kila lenye kheri
    ipo siku ya taisha inshallah.
    1
  • @
    @jayvan23903 years ago Mzee anapenda kujishusha sana " nimependa sana" 17
  • @
    @salumlibaba95003 years ago Km umesikia ss ndio wanyamwezi wakanza gonga like hp 13
  • @
    @hadijagunda91133 years ago Mzee huyo mwanao bana anakufanana mno yani copy yako kabisa hiyo nasebu ni wako. 33
  • @
    @shaibushaibu19502 years ago Kila kitu myangulize mungu hatajibu mzee hata hivo nakupongeza huwa humejireza vizur na unaenderea vema.
  • @
    @laymashabani8323 years ago Mwenyezi mungu atakufanyia wepesi baba. 6
  • @
    @edge60162 years ago Mzee abdul muogope allah kuva chain kwa shinzo kwa mwanaume ni haramu allah akuongoze.
  • @
    @elishasamson773 years ago Ubarikiwe mzee kumsamehe mwanao kesho cyo leo na leo cyo kesho.
  • @
    @raydhanselemanseleman84393 years ago Daah mzee diamond ni mwanao kabisa maana mna fanana sana. 2
  • @
    @hellacredis55553 years ago Nampenda sanatokea kama yeye, tangia nimjue huyu babu tifa sijawahi. 1
  • @
    @danneismail54423 years ago Mshaanza tena kumsumbua huyu mzee na stress za mtoto atulie 23
  • @
    @sakinaabdallah77133 years ago Amin ishaallah diamond atakurudia ishaallah. 6
  • @
    @naimafaiz52743 years ago Mungu akupa subar kuna siku yatakwisha from kenya. 66
  • @
    @D-Man.B-Free3 years ago Dah, nimemuelewa kinoma kuhusu ukukaa na wazazi lazma usafiri mbali afu ukirudi. 6
  • @
    @victoriadaizy52773 years ago K mziwanda you never disappoint ulisema lazima nayonayo.
  • @
    @kadulathumani75172 years ago Mzee abdul utakuwa mfano mkubwa kwa wazazi na watoto. You are very humble. Mmungu akupe umri mrefu na subira zaidi. Mali tutaziacha hapa lakini amali njema ndio za maisha ya baadae.
  • @
    @damianjeremia38213 years ago Mbona sauti na ongea ni diamond kabisa kuna nini hapo. 20
  • @
    @giftmsokele97763 years ago Eti watoto wengine wakike wakomonisti mzee huyu bhana.
  • @
    @ningekuwambunge8203 years ago Mungu akusimamie mzee wetu. Malipo yako mwenyezi munguila ongea ya huyu mzee na ya diamond ni copy! Kuna uwezekano mama alipagawa tu na mali lkn ninaendelea kuamini huyu ni baba mzazi wa diamond. 2
  • @
    @beedward51333 years ago Da,
    hata kama huna macho,
    huwez ata kupapasa ukajua huyu ni mzee wake mond kwel!
    6
  • @
    @ismailmenza67052 years ago Mzee anabusara sana chamsingi nasbu ajue baba atabaki kuwa baba pesa isimfanye akufuru wazazi.
  • @
    @stanlaymsabaha40383 years ago Kama umesikia mtu mlezi gonga like twende sawa. 8
  • @
    @marinojenaro70453 years ago Mm nadhan siku za, mwisho zinakaribia eeh mungu tunusuru wanao haiwezekani mtoto amkatae inauma sana mzee anafanana sana na. Mond baba mungu akupe wepec na uvumilivu dunia itawafundish siku ataukuja kukupgia goti.
  • @
    @starfordalex41393 years ago Huyu ndiyo baba diamond hata akimkataa haisaidii. Wanafanana saana. 2
  • @
    @carolinemusimbi92323 years ago Huyu mzee ni mzuri saa nyingine wanamchemsha tu.
  • @
    @tatuhamza91873 years ago Huy ni mwanae kabsa wamefanana sanaa unajua.
  • @
    @lucksonemmanuel70393 years ago Mzee ana madini sana busara ni zaidi ya mali ishi sana mzee.
  • @
    @jeromekanyoro98003 years ago Mungu atuweke siku nyingi, tuwatunze wazazi wetu. 2
  • @
    @suleimanjokoro3 years ago Pesa haiwezi kununua kila kitu! Hilo lifahamike) 6
  • @
    @ramadhanjuma10773 years ago Diamond na huyu mzee abdur ni damu moja.
  • @
    @iddibakari23543 years ago Diamond, now you are grown-up. Huyu ndio baba yako. Whatever be, hata kama kasoro za wazazi ni kawaida kwani ndio mwanzo wa maisha bora! Hata kama mama . ...Expand
  • @
    @miriammutuku50593 years ago Baba usife moyo mungu yu nawe, yaani nimelia tuu kunaye mungu aliye hai, malipo ni hapa tuu. 2
  • @
    @juliusmwinga40513 years ago Mzee amejaa busara na nitajiri wa roho safi.
    mungu akubariki sana.
  • @
    @isackpaul85363 years ago Hakika wanaume wengi tuna maamuzi ya busara hususani kwa swala zima la kuwa na subra, huyu mzee ana ushauri mzuri kwa diamond hususani nyakati kama hizi za ushindani wa kimziki. Big up sana mzee. 23
  • @
    @husseintv18403 years ago Mzee nakupnda sana uko n hofu ya mungu. 17
  • @
    @bakarimpilipili88763 years ago So sad father
    but i love your wisdom gonna pay u.
    1
  • @
    @d.a.t33833 years ago Well said mzee mali inabaki watu wayeyaa. 1
  • @
    @faizahkewush88313 years ago Mzee wasema kweli, hio bykoko bado yavunja record. 1
  • @
    @eppiemodest3 years ago Ana busara sana mzee abdul. Mama dangote ndiye kavuruga yote hayo mpaka familia. 8
  • @
    @agnesmwikali5393 years ago Huyu mzae anafanana na diamond kabisa, nikiwa diamond nikujifanyiza dna. Na huyu mzae. 1
  • @
    @julianapetro38972 years ago Afuu huyu baba ni kichwa anaakili sana.
  • @
    @sammaisak75033 years ago Hilo komo kama la dai na mashavu ya kutumbukia ni diamond kabisaa. Huyo nyange maybe wanahusiana lakini huyu ndio baba. 8
  • @
    @sadamwaka64603 years ago Huyu mzee ni mwanaume na nusu aiseee. Ana roho nzuri sana. Pia ana akili sana. Mungu azidi kumpa ujasiri.
  • @
    @wanjirujane58242 years ago Damondi ataafanyeje uyo ndobabake mzazi mwenyewe.