Duration 15:5

Rais Samia ‘’Nashukuru sana Watanzania kwa tozo wamekubali’’

261 347 watched
0
1.2 K
Published 10 Aug 2021

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Watanzania wamekubali tozo lakini jambo linalolalamikiwa ni kiasi kinachokatwa. Katika sehemu ya pili ya mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke Rais Samia amesisitiza kuwa tozo hizo ni kwaajili ya maendeleo ya wananchi. Kuhusu kugombea tena urais mwaka 2025, amesema kuwa ‘kwanza kazi ifanyike ya 2025 aachiwe Mungu’ Video: Munira Hussein #bbcswahili #tanzania #siasa

Category

Show more

Comments - 1898