Baraza la Wazee la Chama cha Chadema (BAZECHA), limesema mkwamo wa Tume Huru ya Uchaguzi, umesababishwa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 13 Januari 2020, jijini Dar es Salaam, Hashim Juma, Mwenyekiti wa BAZECHA amesema, Rais Kikwete anastahili lawama kutokana na kupuuza Rasimu ya Katiba ya Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, iliyopendekeza uundwaji wa tume hiyo.
Follow us: Twitter; https://twitter.com/Uhurubilamipaka
(MwanaHALISI Digital)
Facebook; https://www.facebook.com/MwanaHalisi/
Instagram; MwanaHALISI_Digital
Website; www.mwanahalisionline.com