Duration 1:58

MTOTO WA MASOUD ALIELALA KITANDANI MIAKA 10 AFARIKI, ALIKIBA AGUSWA

57 447 watched
0
354
Published 28 Jul 2021

Mtoto wa Mtangazaji Masoud Kipanya aitwae Malcom Ally amefariki leo Dar es salaam, msiba utakuwa Mlimani City pembeni ya jengo la Mwenge Tower na maziko yanatarajiwa kufanyika kesho makaburi ya Kisutu DSM saa saba.

Category

Show more

Comments - 160