Duration 11:8

Watafiti na wadau wa kilimo nchini wametakiwa kufanya tafiti zitakazo leta jita kwa Taifa.

117 watched
0
0
Published 2 Dec 2021

Watafiti na wadau wa kilimo nchini wametakiwa kuhakikisha wanafanya tafiti ambazo zitakuwa na chachu kwa wakulima lakini pia kujikita katika kuhakikisha yale maarifa waliyokua nayo yanawafikia wakulima pamoja na kushirikisha Serikali katika maazimao mbalimbali ambayo wanakubaliana. Hayo yamesemwa leo jumatano Decemba 01, 2021 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Raisi, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi la Serikali ya Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohamed kwenye Mkutano wa 13 wa Jumuiya ya Wataalam wa Uchumi Kilimo utakaofanyika kwa siku tatu kuanzia desemba 1 mpaka desemba 3 2021, uliofanyika katika ukumbi wa National Carbon Monitoring Center katika Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) Mkoani Morogoro

Category

Show more

Comments - 0