Duration 9:35

RC Gambo 'Kwa gharama yoyote Jimbo la Arusha Mjini litakuwa la CCM'

22 051 watched
0
51
Published 27 May 2018

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amefungua semina ya umoja wa wanawake wa wilaya ya Arusha mjini ( UWT) yenye lengo la kuwajengea uwezo ikiwa ni pamoja na kuelekezana namna ya kutimiza majukumu yao pamoja na mada za kuwajengea uwezo. Gambo amesema jimbo la Arusha mjini haliwezi kugawanywa kama inavyozungumzwa na hawana mpango huo.

Category

Show more

Comments - 90