Duration 11:15

MAPYA YAIBUKA MO AMWITA MANARA/ AMUONESHA USHAHIDI/ ALIKUA KIGAMBONI

329 061 watched
0
996
Published 22 Jul 2021

Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Mo Dewji alimuita Haji na kumuuliza kuhusu suala hilo. Haji alikataa kwamba hakwenda Kigamboni. Alipoonyeshwa ushahidi wa dhahiri wa yeye kuwepo Kigamboni akalipuka na kutoa povu kali na kumtukana na kumdhalilisha Dewji, ingawa Dewji ndiye siku zote amekuwa anamtetea hata pale Bodi ilipotaka kumfukuza kazi miaka miwili iliyopita. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #manara #kumwembe #modewji

Category

Show more

Comments - 567