Duration 40:29

MIZINGA, GARI NA ULINZI ALIOTINGA NAO MZEE MKAPA ALIVYOAPISHWA KUWA RAIS MWAKA 2000

57 297 watched
0
195
Published 24 Jul 2020

Kumbukumbu ya Rais wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa alivyofika Uwanja wa Uhuru mwaka 2000 kuapishwa kuwa Rais kwa muhura wa pili na wisho katika uongozi wake ambaye leo Julai 24 amefariki dunia akiwa hospitalini akipatiwa matibabu.

Category

Show more

Comments - 53