Duration 13:4

NJIA TOFAUTI ZA KUTENGENEZA MAFUTA YA NAZI. Baada ya hii video hauta nunua tena mafuta ya nazi.

702 watched
0
6
Published 23 Mar 2021

Nafurahi kushare video nyingine ya ninyi. Jinsi ya kutengeneza mafuta ya nazi. Nadhani wengi wenu mtaipenda. Namtumaini mnafurahia Video zangu. Asanteni kwa kuangalia. Iliusikose video zangu SUBSCRIBE hapo chini Nifollow katika mitandao mingine Instagram: @glow_ch1 Tik tok: glow_ch1 Business Inquaries g.mtei54@gmail.com Some affiliate links are used, which means if you purchase a product i may get a commisson. Product nilizotumia -------------------------------------------- Labda kuna mtu atataka kujua: Camera ninayotumia : Canon 80D https://amzn.to/3bVncus Software ya kueditia video : imovie Taa ninayo tumia : Ring light https://amzn.to/2Oi3G2X Kamera ya kufanyia vlog: iphone xs Kwa, sponsorhip, product review, jisikie huru kunitafuta katika barua pepe: g.mtei54@gmail.com Maoni yote katika video zangu ni yangu mwenyewe, bila kujali ikiwa video imefadhiliwa au la. Hivyo basi, bidhaa ambayo nimejaribu ikanifaa mimi inaweza isikufae wewe. Wenu, Gloria

Category

Show more

Comments - 1