Leo Simba na Yanga fainali uwanja wa Lake Tanganyika mashabiki wajitokeza wengi wao hawakuwahi kuona Simba na Yanga wakicheza Kigoma.
Category
Show more
Comments - 103
@
@masakimasaki993 years agoNimemhurumia sana huyo jamaa. Yaani natamani kupata habari kwamba alifanikiwa kuingia uwanjani. Very emotional. 7
@
@zuberikamote20783 years ago1974 mbna kachakaa hv mmmh Maisha magumu kweli mama Samia punguza tozo za miamala 6
@
@iddykivu13363 years agoHuuu ni Upuuzi sana Utaratibu Mbovu sana 10
@
@yohanakananika35863 years agoKama umesikia mzee anasema hajawahi kuona dadi like hapa 7
@
@musafrancis35843 years agoMm ni shabiki wa yanga lkn nimempenda hyu mzee bure anavyojibu maswali 8
@
@mustafamgeni4203 years agoMapenzi haya tungekuwa tunayaonyesha kwenye ibada zetu miskitini na makanisani ninauhakika hata Corona mungu angeiweka mbali nasi,Mungu wetu tusamehe sisi waja wako,yote haya kwakuwa hatuijui kesho yetu. 5
@
@mursallusinde91893 years agoKigoma wajitahidi wapandishe timu ligi kuu ili burudani kma hizi ziendeleee kuonekana kigoma 1
@
@naimunaimu23123 years agoWe baba ujue watoto wako wanakuona hapo hadi huruma 3
@
@aminatanzanya74753 years agoAisee nataman nione huyu bb akiw uwanjan 2
@
@mohamedhaidar80403 years agoNdg mtangazaji hayo maswali unasoma au?
@
@stanastana31993 years agoTanzania watu wanapenda mpira sana duuh
@
@benjaminulanga67493 years agoHii ndo dady yangu ya kwanza aliyesikia dady katajwa hapa tulike basi ata 50 dah 1
@
@minskbelarus72553 years agoInna lillahi wa illaihi raajiuun Dunia imefika mahala pazuri sana. Kuna WATU, hiyo saa KUMI usiku wapo MSIKITINI. 1
@
@malataogtz20803 years agoToka nmezaliwa ndiyo dadi ya kwanza kuiona wasikivu kama mm twende kaz 7
@
@hkk24503 years agoHuyu kweli kazaliwa 74? Ana miaka 46 kweli 3
@
@cheiknamouna20583 years agoMateso bila chuki pesa yako mwenyewe bado inakutesa si ukachemshe supu unywe hayo matokeo utaskilizia kwa jirani
@
@ilovejesus6663 years agoYn watu wa kigoma wamekaakaa tu awaeleweki 1
@
@controlTheoryChamps3 years agoKwanini mnamwita mzee wakati hata miaka 50 hajafika? 2
@
@fadhilikangusi3 years agoToka nazaliwa ndio dady ya kwanza kuiona.
@
@nyarinkya61023 years ago1974 sio kweli, huyu kama kachelewa sana kuzaliwa 1970
@
@davidbahati83273 years agoMzee wetu tokea amezaliwa ndo dad yake ya kwanza kuiona live
@
@imanijohn60693 years agoDah, unatoa pesa lakini bado una teseka. 1
@
@abdoulrahimmigomba38853 years agoHuyu mzee amemaanisha kua swala ya Alfajir imempita, adhuhur pia ishampita, Alasiri itampita, Magharibi pia itampita na bila shaka hata Ishaa itamshinda pia. Subhanallah. 1
@
@mussanganda5053 years agoKumbe watu wanapenda mpira kuliko kuogopa cvd19 wameshonana mpaka,kesho utasikia oo muhimbili vyombo vya kupumlia vimepungua
@
@iddihamisi63203 years agoSisi watu wamikoani ndio tunauwezo wa kukaa kuanzia saa 10 alfajili mpaka saa 8 mchana huku tukiwa hatusisinzi sisi sio wanaume wa dar hasa huko kwenu kinondoni 🤣🤣

Related videos for APIGISHWA KICHURA SIJAWAHI KUONA SIMBA NA YANGA TOKA NIMEZALIWA 1974:
Subhanallah. 1
Subhanallah. 1