Bofya hapo chini kutazama video ya ngoma ya Mabeste #BackOff
/watch/8GrByglR3tORB
Siku za hivi karibuni, Zari The Bosslady amekuwa karibu na ex wake, Diamond Platnumz kupitia watoto wao, Tiffah na Nillan. Watoto hao wameshiriki pia kuipromote ngoma mpya ya Diamond na WCB Quarantine, kitu kilichokuwa cha nadra siku za nyuma. Hii ina maana gani? Ni ishara kuwa wawili hawa wanaweza kurudiana tena? Tunajadili kwenye #Recap