Duration 1:29

MASAUNI AWAAGIZA MAKAMANDA WA POLISI TANZANIA KUWAPA DHAMANA MAHABUSU WALIOKIDHI VIGEZO

659 watched
0
6
Published 4 Apr 2020

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, amewaagiza makamanda wa polisi nchini, kuhakikisha wanawapa dhamana mahabusu waliokidhi vigezo ili kuondoa msongamano katika vituo hivyo.

Category

Show more

Comments - 2