Duration 4:2

KOCHA YANGA APAGAWA NA MAKAMBO, AMTAJA KIBWANA KUMIA

2 486 watched
0
5
Published 15 Dec 2021

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV VIGOGO wa kabumbu nchini, Yanga SC wametinga Raundi ya Nne ya Kombe la Shirikisho ls Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Ihefu SC ya Mbarali mkoani Mbeya usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Shujaa wa Yanga leo ni mshambuliaji Mkongo, Heritier Makambo aliyefunga mabao matatu peke yake dakika ya sita, 23 na 65 na kiungo Mganda, Khalid Aucho dakika ya 45. Subscribes:/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV

Category

Show more

Comments - 2