Duration 2:18

Afisa Habari Bodaboda ana wito huu kwa serikali tamasha la usalama barabarani

123 watched
0
0
Published 13 Aug 2017

Abdallah Bakari ni Afisa Habari wa Bodaboda wilaya ya Ilala ambaye ni miongoni mwa watanzania walioshiriki Tamasha la Usalama Barabarani kama mdau amefunguka mengi kuhusu tamasha hilo.

Category

Show more

Comments - 0