Jana miswada mitatu inayohusu madini ilisomwa bungeni kwa mara ya kwanza jana. Miswada hiyo iliwasilishwa kwa hati ya dharura kama ambavyo Rais Magufuli aliliomba Bunge lipitie upya sheria na mikataba ya madini. Bunge pia limeongezwa muda hadi July 5.
Wakati anapokea ripoti ya pili ya Kamati Maalumu ya Uchumi na Sheria kuhusu Taarifa ya Makinikia, Rais Magufuli aliliomba Bunge kupitia upya sheria na mikataba yote ya madini na gesi ili kuiepusha nchi kuingia katika mikataba mibovu.
Baada ya kuwasilishwa kwa miswada hiyo jana, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (Chadema) aliomba mwongozo wa Spika, ambapo aliliomba bunge kuondoa hati ya dharura ya kujadili miswada hiyo.
“Muda mfupi uliopita tumekabidhiwa ratiba ya bunge, serikali inaleta miswada mitatu kwa hati ya dharura, mwaka 1997 mikataba ya madini ilipitishwa haraka haraka, mikataba ya ngesi hivyo hivyo,
“Kazi ya bunge ni kutunga sheria, sisi ndio wawakilishi wa wananchi, kwa umuhimu wake na maslahi kwa wananchi, sisi wawakilishi tulitakiwa kukutana na wananchi, hivyo ni bora ikasomwa leo kwa mara ya kwanza na hati ya dharura ikaondolewa na kuletwa bunge lijalo.
“Kwa maelezo uliyotoa wadau wataitwa kwa short notice wafike Dodoma kujadili, sisi wabunge vile vile, miswada mitatu inaletwa tuichambue. Huu ni mtego kwa kutufanya tushindwe kuishauri serikali kwa kazi yetu ya kibunge”. Alisema Mnyika
Baada ya kauli hiyo ya Mnyika aliyoitoa jana Bungeni, leo Zitto Kabwe(Mbunge wa Kigoma-ACT Wazalendo) amepingana na kauli hiyo ambapo amesema Hoja ya hati ya dharura anayoizungumzia Mnyika ni dhaifu kwa sasa.
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/
@allyrashidi44905 years agoKweli umeongea sanaa alafu wao awaja ata aka awo.
@
@kenjrnganzi4787 years agoNchi haiwezi piga hatua kwa mwendo huu wa wabunge wa ccm kusema kila kitu ndio. 7
@
@tedystanley88896 years agoUpinzani ndo kila kitu, mungu awabariki sana. 7
@
@filimondeclassic18896 years agoWapinzani mko makini mno bila ninyi bunge hakuna. 3
@
@allymfangavoo60655 years agoMatatizo yanakuja ayo ni madogo shida zinakuja 2020.
@
@betholuoga93816 years agoMnyika upo sawa wapizani wamedai sana mikataba mikubwa hususani ya madini ijadiliweimekuwa ikibaki nayo eti ni confidential. Upuuzi. Thank to magufuli amekuwa msaada kwenye rasilimali za nchi. 7
@
@bonabonala76856 years agoKweli lema upo saws ipo siku kitawaka 2 wanaona wanainchi wajinga wakumbushe yariotokea ivorycoest ya raurent gbabo ccm na mijadara ya sifa2 hayaa. 7
@
@loner_wolf5 years agoHawa njaa tu. Hakuna mkweli. Wasakatonge watupu.
@
@bustobull10306 years agoSerikali tawala mambo inayojifanyish siku wananchi tukisimama kitaeleka. 4
@
@djjoopitare28186 years agoDaaah najivunia mbunge wangu lemah anaongeaga ukwel mungu amlinde tuu. 5
@
@emmanuelmussa83316 years agoMsigwa yeye anacheeka tu lema akiongea. 1
@
@agneserasto98065 years agoWananchi hatuwezi kuwaerewa wapinxani maneno matupu.
@
@SamSam-bn8db6 years agoTanzania kuendelea kiuchumi sahau coz maelewano hakuna hata kwenye ukwel, bungeni ndo mlitakiwa kuwa kitu kimoja ili kuifisha nchi mahali husika, badala yake ndo haya. 4
@
@phineruge34805 years agoWapinzani wote mko strong, bila upinzani bunge halina watu wenye hoja km wapo ni 20% kwa 100%
@
@itazowanzagi57214 years agoHuyu jamaa waga namkubalisana kwenye siasa duu nahisi ana phd.
@
@user-zl4ch7kz3b6 months agoTangu nianze kuangalia bunge nilikuja gundua wabunge wa chadema ndio wanatutetea ccm ni vilaza hawajui kaz yao.
@yairoswai95876 years agoNinahisi upinzani tanzania ni kama watu haramu ila laiti watanzania wangeelea kutafakari faida za upinzani. Wamevumbua uozo kibao kama sio wapinzani tanzania ingekua wapi leo. 5
@
@peninaagustino25497 years agoUpinzani ni wa muhimu sana katika kila eneo maana ni jicho la maendeleo. Ukiuchukia upinzani utakuwa haujui kucheza vita nzuri ya maendeleo. Hata wewe. ...Expand9
@
@josephnchunga65546 years agoMpuuzi ninyi mlimkimbiza nairobi mkihofia kuwa hapa inchi watamua ninyi nivigeugeu hamfai kuwa wabunge, unaomba una bwabwaja mbona huna nidhamu ww. 3
@
@freddokuckelmann85026 years agoHawa jamaa wala hawapigani bungeni? Bunge ni uganda bwana, nasubiri ngumi za wanawake wa uganda tu. Wabunge wetu wana vitambi, ngumi moja analazwa muhimbili miezi sita. 2
@
@ndikumanakalenzo24407 years agoIla unalo rais la ajabu sna, kama kweli ana nia madhubuti angetoa muda wa kutosha kuanza mapitio ya miswada na sheria zote za madini, na hata ile report. ...Expand4
@
@evansonyango28783 years agoTanzania si mtupatie huyu mbunge ata kwa mkopo.
@
@charlzlyimo19827 years agoWacha waendeelee kutuburuza make watz wengi niwazungu waendelee kutuibia tu. 6
@
@mfaumemohamed87536 years agoLema boya kweli, kwa maneno yaka inaonyesha kwa wasiojulikana kule kibiti anawajua. 5
@
@agneserasto98065 years agoWabunge wa wpinzani wizi mmehiba simenti mmehiba zahabu.
@
@joycemosha18986 months agoJamhuri ya muungano africa duniani ccm bila democrassia hawawezi kukaa bila kuwepo dmc na hawatapata mikpo ya kumlinda na katiba raisi kakiuka katiba na. ...Expand
@
@favouredfreda2835 years agoLema ni lazima asikilinzwe kwani inaonekana kunauvivu wa kufikiri madhaifu ya utendaji kazi kuleta mabadiliko ya nchi.
@
@juliasmollel51764 years agoLema umebonga point lakin sasa hao wajinga hawatakuelew.
@frabomdemwa88805 years agoCcm ni dhaifu ndio maana raisi ameanza kampeni kwenye ziara za serikali huku akionekana wazi kuwabagua viongozi walio chaguliwa na wanannchi huku akijinasibu ni raisi wa wote upuuzi mtupu.
@
@mariamkalinga26286 years agoSmtupati ng' o ccm mbel mbl kwa mbl. 4
@
@agneserasto98065 years agoLema tunakataa ni ujinga mtupu we ni mbunge kazi yako mbaya kaxi ya ubunge himekushinda usiwatiahe siku yako ya kwenda jera himefika. 1
@
@abdulkarimjuma67214 years agoHakika ukisikiliza upinzani huwez kuipenda ccm.
@
@Mbugokilonda7 years agoChama cha upinzani ndo kila kitu bungeni! Wabunge wa chama cha mapinduzi ni mambulula tu, wanafuata upepo kama bendera. 15
Related videos for Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni: