Duration 4:5

WAITARA AMTUMBUA MTU USIKU MRADI WA SGR KWIMBA, WENYEJI WAMCHONGEA ANAWANYIMA KAZI

1 822 watched
0
5
Published 27 Dec 2021

WAITARA AMTUMBUA MTU USIKU MRADI WA SGR KWIMBA, WENYEJI WAMCHONGEA ANAWANYIMA KAZI... Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amefanya ziara katika wilaya ya Kwimba na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo alipofika katika mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR usiku, amekutana na malalamiko mengi yanayomhusu msimamizi wa mradi huo kutoka kwa wananchi ambapo walisema wananyimwa nafasi ya kufanya kazi katika mradi huo jambo ambalo lilimkera Waitara na kuagiza kuondolewa kwa msimamizi huyo katika kusimamia ujenzi wa mradi huo. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 3