Duration 5:7

Eliza Band - Kwaheri Shujaa Wa Afrika Rais Magufuli - (Official Music Video)

197 766 watched
0
429
Published 20 Mar 2021

BURIANI RAIS MAGUFULI KWAHERI SHUJAA WA AFRIKA RAIS MAGUFULI Song Kwaheri Shujaa wa Afrika Rais Magufuli Artist Eliza Band Album OMKAYA Licensed to YouTube by Believe A. (on behalf of Elizabeth Maliganya) Audio Bujiku Studio DOYER VIDEO PRODUCTION - +255767391937

Category

Show more

Comments - 83
  • @
    @Crabtree18442 years ago Wenye waliomuua Magufuli msipate wema hata siku moja na pia watoto wenu.
  • @
    @mabinamsoja4849last year Manjozi makubwa kumpoteza shujaa wetu magufuli
  • @
    @jumamavind77133 years ago Hakika tumepoteza hatutapata Raisi kama Magufuli
  • @
    @nasrahassan73462 years ago Dah nikiusikia huu wimbo dah machonzi hunitoka R.I.P JPM
  • @
    @felicianholle30103 years ago Tupeaneni pole watanzania kwa kuondokewa na shujaa wa Afrika na mtetezi wa wanyonge na mtu mwenye ndoto ya maendeleo katika nchi yake tuzidi kumwombea kwa Mungu pumziko la milele 5
  • @
    @jenyyusuph49733 years ago 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 SIJUI furaha yetu it arudi kutoka upande upi 2
  • @
    @jenyyusuph49733 years ago Daah unajua bado na tafakari tangu siku Ile uliyo NIAMBIA tutakoma😭😭😭😭😭😭😭 2
  • @
    @faustinemavere14503 years ago Kweli Mungu peke yake ndiye atakae tusimamia wa tz hatukufuru ila mioyo imeumia kuondokewa na mpenda wanyonge lala mahali pema peponi Ameen 2
  • @
    @babahamrathy...74233 years ago Rest in paradise jpm kifo hakina huruma nalia kila nisikiapo wimbo huu 3
  • @
    @wilsonfbipolice9113 years ago From USA🇺🇸🛫🗽🏰Kijana wakingomani nakulilia ntaendelea kumkumbuka Ayati JPM Apumzike kwa Amani.
    Mbarikiwe kwa kumhimbia shujaa
    6
  • @
    @machelaonline69023 years ago Pole sana Sister Eliza
    Msiba wetu sote
    Ni Msiba wa Kitaifa
    Ni msiba wa Africa.
    5
  • @
    @felisterlucas48373 years ago Raha ya milele umpe Ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani 9
  • @
    @jenyyusuph49733 years ago Hii ndoto hatujawahi kuteshwa maisha yetu duuh mungu akatishe ndoto hii maana inatisha EE MUNGU SHUKA EE MUNGU TU NAOMBA RAIS KAMA MAGUFULI MUNGU WW NDIO UNAJUA KIASI CHA MAUMIVU YA MIOYO YETU😭😭😭😭😭😭 2
  • @
    @emmanuelmabula23503 years ago Aminaa Dada yangu Elizaberth!inasikitisha!Hongera/ahsante kwa kumuenzi shujaa wetu! 6
  • @
    @iddydaruwesh8650last year NI KWELI KABISA ULIONA MBALI MZEE MAGUFULI DAA ULIJUWA LAKINI UKASEMA BORA LIWE NAFANYA KWA AJILI YA WATANZANIA WANYONGE. KIFO HAKINA HURUMA REST IN PEACE JPM MWANAWANE WA UKHAYA
  • @
    @veryfridackzm84933 years ago 😭😭 jamani Baba yetu apumzike kwa amani 6
  • @
    @yusuphmalongo7063 years ago Rara sarama shujaa wetu ama kweri kizur hakidumu 2
  • @
    @dayanapastor23223 years ago Your not only Tanzanian stronger But the whole East Africa 😭😭😭😭 rest in peace🙏🙏🙏🙏 10
  • @
    @dottomakanyanga52143 years ago Hongera Elizabeth bendi Mwanga wa milele umwangazie eee bwana kwaheri Magufuli 2
  • @
    @sabrinagerady2973 years ago Mingu alitwaa mung ametwaa jina lake lihimidiwe AMENI 1
  • @
    @mariamramadhan4943 years ago 😭😭😭😭 uli sacrifice maisha yako kwa watanzania nenda magufuli imekua mapema Sana tulikua bado tunakuhitaj 3
  • @
    @mwanaidik53873 years ago Uhuuuuuuu dah tunalia kweli jamani dah 2
  • @
    @irenegesare96293 years ago Ooh noo 😭😭😭Rest in peace president John Pombe magufuli 5
  • @
    @jumamavind77133 years ago E mungu fanya miujiza, utuletee Magufuli mwingine mwenye uwezo kama huyu wakuondoa kila kuliko baya
  • @
    @queenkkd81213 years ago It's so touching song . Ulale salam baba magufuli. 😢🙏🙏😭😭😢 3
  • @
    @burkardkayombo46083 years ago Rais Maguful sehemu yako umefanya, mengi watasema lakini Mungu na Watanzania tupo pamoja nawe. Ameni. 5
  • @
    @MariaAlfred-iw9yl8 months ago Bado namkubal san huyu mwamba endlea kupmzka bab angu
  • @
    @officalmsafijunior10313 years ago Kwaheri SHUJAA wetu tutakutana PARADISO 4
  • @
    @samuelkalisya45933 years ago Lord here the prayers of your children 6
  • @
    @cyprianmachibula71222 years ago MAYU TUNAYAKUMBUKA YOTE. MAMA AJISIMAMIE TU
  • @
    @kudisalashija98233 years ago Hakika ameacha alama kubwa kwa taifa na mioyoni mwa watu. Kazi ya Mungu haina makosa bali hutwaa viumbe wake apendavyo. Tuliobakia hatuna budi kuendelea kumuombea na tushikamane 1
  • @
    @estabuluna6013 years ago Rest in peace president magu M/Mungu akupe pumziko la milele
  • @
    @josephatkiliko25463 years ago Rest in peace my late president John Pombe Joseph Magufuli 1
  • @
    @kimolankenyenge71583 years ago Daaah!! watanzania tumepata pigo kubwa sana kumpoteza rais wetu mpendwa jpm lakin yote hayo ni kusudi la mungu kwan yeye ndye muweza wa yote hapa dunia ila tumuombee baba yetu shujaa wetu , mpganaji wetu, mzalendo wetu ,mpenda watu wetu, shujaa wetu,kamanda wetu, asiye na ubaguz kwa jamii ya ndan na nje ya nchi aende salama huko alikoitwa na muumba wa wote kwa hatuna budi kusema RIP Rais wa africa by king msukuma but welcome too all south africa ... 1
  • @
    @bashimbechikos63793 years ago Tutamukumbuko sote kwa matendo yake même 3
  • @
    @hypoliteminani44093 years ago Huyuerizabeteanaimbanyimbokamahikwaraisiwaburundisikuanafarikidunianinkurunzizatunarianamacozimengi😂😂😂😂😂😂 2