Duration 24:53

Zitto: NEC, IGP Sirro ndio wenye amani ya Tanzania

43 831 watched
0
272
Published 6 Sep 2020

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ndiyo ya kuamuwa ikiwa inataka amani ya nchi idumu ama ichafuke kwa jinsi itakavyoshughulikia suala la kuenguliwa kwa mamia ya wagombea wa upinzani nchi nzima, huku akimuonya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro, kwamba hakutakuwa amani pasipo na haki.

Category

Show more

Comments - 169