Duration 16:5

KIMENUKA KURA ZA MAONI CCM ZAWATIBUA WANACHAMA/WAANDAMANA

20 867 watched
0
76
Published 21 Oct 2019

Uchaguzi wa kura za maoni wa Chama cha Mapinduzi #CCM katika tawi la #Magomeni #Kagera jijini Dar es Salaam umeingia dosari baada ya baadhi ya wanachama wake kumkataa mgombea aliyeteuliwa kwa kuwa sio mkazi wa eneo husika.. MwanaHALISI TV ilifika katika eneo husika na kukuletea tukio zima jinsi lilivyokuwa

Category

Show more

Comments - 66