Duration 3:11

TAZAMA | ASKOFU DK CHILONGANI ATOA NENO KWA VIONGOZI KUJALI WANANCHI

204 watched
0
3
Published 25 Dec 2021

WAKATI waumini wa Kikristo ulimwenguni kote wanasherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika ambaye pia ni Makamu Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Dk Dickson Chilongani amewataka viongozi wa dini na wa siasa kushuka chini kwa wananchi wanyonge ili kutatua changamoto zinazowakabili na kuachana kukaa kwenye viti vyao vya enzi . Askofu Dk Dickson Chilongani amayesema hayo leo jijini Dodoma katika ibada ya kusherekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo Attachments area Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176 ... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig ... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid ... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Category

Show more

Comments - 0