Duration 5:47

Bungeni Ngassa Aitaka Serikali Kuboresha Makazi ya Askari

162 watched
0
0
Published 25 Jun 2021

Mbunge wa Jimbo la Igunga Mkoani Tabora Nicolas Ngassa Ameiomba Serikali kuona ni namna gani itaweza kukata asilimia hata 10 kutoka kwenye Faini za vyombo vya Moto vya Barabarani, ili Fedha hizo ziweze kuongeza nguvu ya Kuboresha nyumba za makazi ya Askari, Hayo Ameyasema wakati akichangia Bungeni katika bajeti ya Wizara ya Mambo ya ndani

Category

Show more

Comments - 0