Tamasha la kumsifu na kumwabudu Mungu lililoandaliwa na huduma ya Vijana Kanisa la Pentekoste Tanzania jimbo la Ubungo tarehe 8 mwezi wa 11 mwaka 2020.
Watu wa rika zote tulijumuika kwa pamoja ili kumwimbia Mungu nyimbo za sifa na kuabudu vile vile kupata mafundisho kutoka kwa Mch; Ndandala.
Category
Show more
Comments - 4
Related videos for KLPT, Huvika Ubungo Tamasha la Kusifu na Kuabudu 8 11 2020 part 2 mp4: