Duration 3:52

Mariam awekwa jela – Pazia | Maisha Magic Bongo

35 133 watched
0
405
Published 14 Apr 2021

Eliza amuonya Henry kwamba ole wake kama ana mwanamke mwingine. Edu agundua kwamba Regina alipata ujauzito kipindi alivyo bakwa. Dr Love apelekwa jela na Jemo ajaribu kumtoa. Regina agundua kwamba ujauzito wake umetungwa nje ya uzazi. Mariam apelekwa kituo cha police kwa kosa la kutaka kuua. --- Endelea kutizama DStv chaneli 160 Official Website: https://bit.ly/3lXtAFc Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax: https://bit.ly/2KnGqyv Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo

Category

Show more

Comments - 19