MAKAMO wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Massoud Othman Massoud ameongoza wananchi pamoja na viongozi wa Vyama na Serikali kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Konde Mhe. Khatib Said Haji yaliyofanyika kijijini kwao Shumba ya Mjini Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
PATA HABARI ZA UHAKIKA SAA 24
BLOG: https://ugamediaonline.blogspot.com/� ��...
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/uga_media/� ��...
TWITTER: https://twitter.com/UgaMedia
Category
Show more
Comments - 9
Related videos for Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar aongoza Mazishi ya Mhe. Khatibu Nyumbani kwa Marehemu: