@njiroimanuel80634 years agoMunguakulinde mkuwetu njoarusha mwakani uwemkuwamkoa. 1
@
@Mamatonny20654 years agoWanaogopa kutumbuliwa hapo. Wananchi wamechoka kufuga ujinga. Mkuu wa mkoa hongera sana kwa kazi nzuri. 3
@
@aboubacarkillo51404 years agoOnce again nasema mh hap uko vzr sana vzr sana, hongera sana. 2
@
@amosimichael2084 years agoMkuu uko na logic kali mpatanish mzuri keep it up! 1
@
@ramadhaniabdulkadry2884 years agoGood mkuu wa mkoa napenda xana utendaji wako. 4
@
@khairiyyaonline36164 years agoGonga like saana kwa mkuu wetu wa mkoa oyeee. 1
@
@janekikoti21794 years agoSafi sana mkuu wa mkoa hao wamezoea kuwanyazisha wananchi. 3
@
@ymusic8034 years agoSafii sanaa cjafka huko iringa but nakukubali sanaa.
@
@richardbuhatwa19404 years agoHekima nyingi mkuu wa mkoa wa iringa ally hapi kazi nzuri kuwa mpatanishi wa viongozi na wananchi mungu awenawe daima.
@
@blacknature36914 years agoMh ali unahuruma sana ngekuwa mwengine angemtumbuwa huyu kaka. 2
@
@brendachemtai62144 years agoMkuu wa mkoa tanzania iringa mpya kutoka kenya twakupenda bure akii unafanya kazi nzuri mno i wish ungekam kenya utusadie pia sisi.
@
@ndagamwesa9955last yearHatakiswahili hajui et basi naomba ladh.
@
@mariamm27244 years agoMkuu, unahekima sana, nimeipenda hiyo ya usifanye ivo, nakulove sana, ck nikirudi tz nakutafuta, 2
@
@pascalmsilwa78174 years agoJamani tupeni namba ya mkuu wa mkoa tumpigie sisi hatumwogopi. 2
@
@zuwenaalamini41584 years agoMmmh! Padri ni mbeyaila bora kausema ukweli. 6
@
@gastordominic4104 years agoKwa nn hamkuulizwa siku zote zilizopita. 1
@
@thomkimaro58014 years agoHakika ningepata nafasi yakuchagua kazi nikufanya na huyu mkuu wa mkoa kijana. Braza piga kazi madingi wengi wanazingua. 3
@
@simonlulenga70624 years agoDuh mkuu wa mkoa bwana! Tunakupata kwa vipande vidogovidogo mno. Maana unafanya mambo mazuri hapo iringa hadi raha. Tunatamani full story, lakini tuishia kuona kidogo tu. 1
@
@ludovicmjili84804 years agoMtendaji yuko sawa kila mtu amalize majukumu yake kwa nafasi kama kila kitu kinamalizwa na mkuu wa mkoa. Hawa subordinates kama mtendaji, afisa n. K id="hidden2" hawatakiwi kuwepo ili kila mwananchi aende kwa rc. pia huyo padri wa ccm askofu, mkuu wake wa shirika amuonye mbaya sana kwa padri kujinasibisha na chama. ...Expand7
@
@michaelnzunda73474 years agoAko kaafisa mtendaj ka kata hakafai kuakanavo tetema. 7
@
@blastusmitawo20144 years agoKwa wana iringa naomba namba ya mkuu wa mkoa.
@
@zainabubalama46224 years agoMkuu wa mkoa happ tunakuomba ufike kijiji cha wangama ukaone xhida tunazo pata. 2
@
@hermanmkamilo99854 years agoShule ni muhimu sana na tatizo ni kuweka watukwa kuwa wanajua kuongea. Kimsingi katika mambo ya utendaji kila nyanja hushughulikia mambo yake, na hata. ...Expand1
@
@oikoludasi87694 years agoPdri ana chm mkuu wa mkoa nae anachma tunaenda wap. 5
@
@relaxationalmoments70294 years agoHawa watendaji wa chini bure kabisa! Mnasubiri mkuu wa mkoa ameitisha mkutano wake na wananchi kusikiliza kero zao ndio mnaweka masharti yenu? Eti id="hidden4" sisisiku zote mlikuwa wapi kutatua kero za hawa wananchi, mpaka mnasubiri mkutano wa mkuu wa mkoa? Zero minus kabisa hawa!. ...Expand1
@
@marrycomedian12534 years agoMkuu wa uko vizuli iringa hatujasomea elimu kama wewe wamesomea umbes na mjungu huyo ni chadema naomba uje kihesa mgagao kuna viongozi hawajasoma kabisa. ...Expand1
@
@KUTOKA-ep2fk4 years agoEti paroko unapelekaje mizigo na misiasa yako kwa kiongozi wa kiserekali badala ya kusaidia kuondoa kero! 1
@
@msetikebwasi68954 years agoHuyo jamaa anacheka cheka nini, hafai kabisa,
@
@franciscomohamedjumanne11364 years agoHuyu padri sikupendi maana kunasiku unanyanyasa raia kwa sababu tu wameenda kujisaidia chooni hapo, we padr gani. 1
@
@alwaysthink02204 years agoBoss you are wrong men the guy was honest with his apology and you ashemed him publicly i think that was wrong on your behalf sir muhishimiwa.
@
@paulinasemindu12924 years agoNikushaur padre, wangu unahak lkn ww fanya kz ya mungu siasa haitokupeleka kokote babw.
@
@festomsoffe37674 years agoNi jipu mkuu wa mkoa kufuatilia kwa ukaribu.
@
@elyudsaleh60444 years agoAskofu wa huyo padre amkaribishe jimboni na kumkumbusha kuwa chama chake ni biblia. 6
@
@mcrootsav77124 years agoNimependa alivyo jinyenyekeza kwakuombanimegundua elimu zaidi yahitajika kwa watendaji wa vijiji na kata. Wajumbe nakujielewa zaidi. Kuijua mipaka yao yakazi pia.
@
@onesmometili35944 years agoKweli kabisa kwa hapi, dc wake kilolo, na rc wa mbeya.
@
@hizim66994 years agoVitu vingine bhana nimecheka kweli yani live tu sshv hakuna pembenipembeni ukichana unachanwa live km kuhukumiwa unahukumiwa live hata kweny vyama vya thus good hon. Regional commissioner of iringa. ...Expand
@
@amospetro38284 years agoHuyu mrangi hajitambui sna anajifanya anajua kila kitu, ndio shida ya wa rangi, kero hazitatuliwi jukwaani aise! 1
Related videos for Mkuu wa Mkoa Ana Majibu ya Hovyo /Padri Afichua Mazito Mkutanoni:
pia huyo padri wa ccm askofu, mkuu wake wa shirika amuonye mbaya sana kwa padri kujinasibisha na chama. ...Expand 7