Duration 3:48

Siha na Maumbile: Ukandaji wa mtoto mdogo una manufaa mengi

212 883 watched
0
360
Published 22 Sep 2016

Wanasena kuzaa si kazi kazi ni kulea, kumlea mtoto tangu anapozaliwa hadi anapopevuka. Malezi bora kwa watoto wachanga yakiwa mkusanyiko wa mambo mengi kuanzia lishe bora, malazi , kinga na tiba ya magonjwa, Bila kusahau kumkanda mtoto ambako kumeoneka kuwa na manufaa mengi sio tu kwa mtoto bali pia kwa mama. Katika ziara yangu mjini malindi nilipata fursa ya kuzungumza na mhudumu wa afya, ambaye alinionesha taratibu za kukanda, shughuli ambayo imeoneka kusaidia sana katika kumtuliza na kumpa usingizi mnono mtoto mchanga. Mengi ni katika siha na maumbile inayofuata sasa. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+ CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya

Category

Show more

Comments - 17