Duration 3:20

SERIKALI IMETOA LITA 17,520 ZA DAWA ZA RUZUKU ZA KUOGESHEA MIFUGO

164 watched
0
0
Published 23 Dec 2021

Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutekeleza zoezi la ugawaji dawa za kuogeshea mifugo hapa nchini kwa lengo la kuikinga mifugo dhidi ya magonjwa yaenezwayo na kupe na ndorobo.

Category

Show more

Comments - 0