Duration 29:30

ZIFAHAMU CHANGAMOTO ZA MALEZI

2 249 watched
0
61
Published 17 Dec 2021

Wazazi wanapitia mambo mengi katika malezi ya watotowao.Kupitia mada yetuya leotutajufunza namna ya kukabili changamoto zinazojitokeza kwenye swala zima la malezi .lakini pia tutapata kujua baba na mama wananafasi gani katika kushirikiana kwenye malezi na makuzi ya watoto wao .Je kuna rika ambalo linahitaji uangalizi wa karibu kuliko mengine? unafikiri nini kifanyike ili kuhakikisha watoto wetu wanapata malezi bora. Tushirikishe maon yako kwenye comment section ili tujifunze kwa pamoja .lengo ni kujenga taifa bora lenye vijana waadilifu

Category

Show more

Comments - 2