Duration 1:32

Mataifa makubwa yakutana Berlin kusaka amani ya Libya

75 watched
0
1
Published 23 Jun 2021

Ujerumani imeandaa mkutano wa pili wa kimataifa kwa ajili ya amani ya Libya. Waziri mkuu wa serikali ya mpito ya Libya Abdul Hamid Dbeibah na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken ni miongoni mwa viongozi wengi wanaohudhuria mkutano huo mjini Berlin.

Category

Show more

Comments - 0