Duration 2:59

Maadhimisho siku kumi na sita za kupinga Vitendo vya Ukatili na udhalilishaji wa kijinsia.

47 watched
0
0
Published 10 Dec 2021

Wanajamii pamoja na wadau wa mapambano juu ya Vitendo vya Ukatili na udhalilishaji wa kijinsia wanatakiwa kutofumbia macho vitendo hivyo kwa kuhakikisha vinachukuliwa hatua ili kuvikomesha kabisa RC SALAMA.

Category

Show more

Comments - 0