Duration 3:4

SALAMA JABIR KABLA YA KUFANIKIWA ALIPITIA NJIA HIZI HAPA

21 441 watched
0
221
Published 6 Mar 2019

Another Productive Wednesday na Leo Kwenye WCW ya @wasafitv Tunae One of the Best Presenter Nchini Tanzania Salama Zalhata Jabir Maarufu Kama @ecejay na Tunacelebrate Mafanikio yake Katika Industry ya Media Hapa Nchini Kutokana na Uwezo wake Mkubwa wa Kufanya Kazi na Ubunifu wa Hali ya Juu Amekuwa Akifanya Kazi ya Media Kwa Muda Mrefu sana Akifanya Vizuri kwenye Upande wa Radio na Baadae Kuhamia Kwenye Television na Kujizolea Umaarufu Mkubwa sana Kutokana na Aina ya Utangazaji alionao Lakini Pia Lifestyle yake kuwapendeza wengi sana

Category

Show more

Comments - 29