@estherkoya84105 years agoMchungaji ni binadamu, iman inatoka kwa mungu, mwanadamu anapokosea msihukumu iman maana aliyeiba ni mwanadamu sio iman imeiba, 7
@
@saidndimbwa49767 years agoDalili za qiyama. Allah atupe mwisho mwema inshaallah. 15
@
@vinozamhone11107 years agoDon' t call him mchungaji now just call him mr. Footprints. 9
@
@fatwimamakungu54567 years agoHahaha jamani nime cheka da huu alipo sema siku akiludi na kikombe mama anasema leo hali mbayaa wallah.
@
@user-br7nc7hw3l7 years agoHuyo mwizi hapo hapa mfai uyo. Ni bora.
@
@wemapingu55807 years agoHee makubwa mwizi huyo. Huo uchungaji ni kisingizio. 1
@
@suleimanaula4477 years agoM' mbwa mwitu kavalia ngozi ya kondoo. 1
@
@roseuwambe8933 years agoHuyo sio mchungaji ni muizi mkubwa anajificha kwa mungu.
@
@wardamunguakuzidishew93992 years agoKama amna picha ya mtuumiwa usiweke kitabu cha mungu aliokosea ni binadamu kama nyie kwa nn mnaweka biblia mm muislamu lakini sijapenda. 1
@
@manahiljamal8342 years agoWasimfate matendo yake wayafate maneno yake.
@
@mamatuishi-mamatuondoke88227 years agoMmh huyu zoa mamaye, akome uichafua dini yetu, kibaka mkubwa. 2
@
@juliethhouseofdesigns1474 years agoUyo alijivika jina la mchungaji kama kivuri ila ukweli ni mwizi,
@
@rukianzalawahe27733 years agoSijapenda picha mlooweka mngeweka hata ya nabil tito. 1
@
@fidesbenard27015 years agoHakuna dini inayompeleka mtu mbinguni. Ni mimi na wewe kuacha matendo mabaya yaliokatazwa kwenye vitabu vya dini. Oho uislamu ndio dini poa sio kweli id="hidden1" jamani tuache kuanyooshea watu vidole uyo ametenda dhambi kama mtu mwingine. ...Expand1
@
@marygaspar64295 years agoJamani kuna waislam wangapi wanafanya makubwa hata zaidi ya haya? Wapo mashekhe waliolawiti je? Na sisi tuwaulize uislam nao ni dini? Maana huyu mchungaji. ...Expand1
@
@fidesbenard27015 years agoHakuna dini inayompeleka mtu mbinguni. Ni mimi na wewe kuacha matendo mabaya yaliokatazwa kwenye vitabu vya dini. Oho uislamu ndio dini poa sio kweli id="hidden3" jamani tuache kuanyooshea watu vidole uyo ametenda dhambi kama mtu mwingine. ...Expand1
@
@marygaspar64295 years agoJamani kuna waislam wangapi wanafanya makubwa hata zaidi ya haya? Wapo mashekhe waliolawiti je? Na sisi tuwaulize uislam nao ni dini? Maana huyu mchungaji. ...Expand1
Related videos for Dunia simama wengine tushukeSikia Hekaheka hii ya mchungaji anayeibia waumini wake huko Madale: