Duration 1:5

BWAWA SAHIHI LA KUHAMISHIKA KWA UFUGAJI WA SAMAKI-

959 watched
0
8
Published 4 Feb 2020

Mabwawa haya huweza kuhamishika na huweza kujengwa sehemu yeyote bila ya kuhitaji kuchimba chini,Idadi ya samaki wanaoweza kufugwa katika mabwawa haya inategemea sana size ya bwawa lililojengwa,kwa mahitaji ya ujenzi wa mabwawa ya kuchimba pamoja na yakuhamishika usisite kuwasiliana na Engineer wetu wa kilimo ENG.JOSEPH MLANG'A (BSc Agricultural engineering) kwa namba 0752022108.

Category

Show more

Comments - 0